Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumatano 06.01.2021: Ozil, Kane, Son, Ramos, Alaba, De Bruyne

Kiungo wa kati wa Arsenal raia wa Ujerumani Mesut Ozil, 32, anafanya mazungumzo na DC United kuhusu kuhamia klabu hiyo ya Major League Marekani. (Football London)

Post a Comment

0 Comments