Windows

Yanga kucheza na Iringa United raundi ya tatu ASFC



Droo ya raundi ya tatu michuano ya kombe la FA (ASFC) imefanyika leo ambapo mabingwa mara nne wa michuano hiyo Yanga wamepangwa kucheza na Iringa United

Yanga itaanzia nyumbani katika mchezo ambao utapigwa uwanja wa Uhuru

Baada ya kutolewa hatua ya nusu fainali msimu uliopita, hii ni nafasi nyingine kwa Yanga kushinda taji hilo ili kujihakikishia nafasi ya kushiriki michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika msimu ujao

Michezo ya raundi ya tatu inatarajiwa kupigwa kati ya Disemba 20-28 2019

Kwa habari zaidi Download App ya SOKA KIGANJANI kutoka Play Store.

Post a Comment

0 Comments