Ligi ya TFF U17 imeendelea leo kwa mchezo kati ya vijana wa Yanga dhidi ya African Lyon, katika mchezo huo Yanga U17 wameibuka na ushindi wa magoli 9-2
Baada ya kupoteza mchezo wa kwanza kwa kufungwa mabao 3-1 na Cosmo Politan, vijana wa Yanga leo wameanza ligi rasmi
Kwa habari zaidi Download App ya SOKA KIGANJANI kutoka Play Store.
0 Comments