Windows

Vanderbroeck alivyokutana na wachezaji Simba



Kocha Mkuu wa Simba Sven Vanderbroeck leo amehudhuria mazoezi ya mabingwa hao wa nchi kwa mara ya kwanza uwanja wa Mo Simba Arena

Vanderbroeck alipata nafasi ya kusalimiana na wachezaji wake kabla ya kuanza mazoezi ambayo siku ya leo yamesimamiwa na kocha msaidizi, Selemani Matola

Vanderbroeck raia wa Ubelgiji, ataanza rasmi majukumu ya kukinoa kikosi chake hapo kesho Ijumaa



Kwa habari zaidi Download App ya SOKA KIGANJANI kutoka Play Store.

Post a Comment

0 Comments