Kocha Mkuu wa Simba Sven Vanderbroeck ametinga kwa mara ya kwanza uwanja wa mazoezi wa klabu hiyo Mo Simba Arena
Sven amefika Bunju kuangalia mazoezi ya kikosi chake ambayo yamesimamiwa na Kocha Msaidizi Seleman Matola
Kocha huyo anapaswa kuandaa program ya mazoezi kabla ya kuanza rasmi majukumu ya kuinoa Simba
Kwa habari zaidi Download App ya SOKA KIGANJANI kutoka Play Store.
0 Comments