Windows

Uzinduzi kadi ya mashabiki wa Simba ni leo




Hafla ya uzinduzi wa kadi ya Mashabiki wa klabu ya Simba unafanyika leo viwanja vya sabasaba jijini Dar es salaam

Wachezaji wa mabingwa wa nchi tayari wamewasili kwenye viwanja vya SabaSaba katika banda la benki ya Equity ambapo uzinduzi wa kadi utafanyika









Kwa habari zaidi Download App ya SOKA KIGANJANI kutoka Play Store

Post a Comment

0 Comments