Kikosi cha Yanga kimewasili salama mkoani Kigoma katika ziara maalum ya kuwapa furaha mashabiki wake
Idadi kubwa ya mashabiki wamejitokeza kwa wingi kukipokea kikosi cha timu hiyo ambacho kimeongozwa na Kocha Mkuu Charles Mkwasa
Yanga itacheza mechi mbili za kirafiki mkoani Kigoma
Mchezo wa awali utachezwa tarehe 13/12/2019 dhidi ya Mwamgongo FC na mwingine ni 15/12/2019 dhidi ya Mbao Fc
Kwa habari zaidi Download App ya SOKA KIGANJANI kutoka Play Store
0 Comments