Windows

TFF yamrudisha Dante Yanga




TFF imemtaka beki Andrew Vicent 'Dante' kuripoti katika klabu yake ya Yanga

Baada ya Dante kuishitaki Yanga akitaka alipwe fedha za malimbikizo ya nyuma zinazofikia Tsh Milioni 45, Yanga ilikata rufaa

Yanga imeshinda rufaa hiyo na TFF imetoa uamuzi wa kumuagiza mchezaji huyo arejee kazini

Dante hayuko na klabu ya Yanga kwa miezi mitano sasa licha ya kuwa mchezaji huyo ameendelea kupokea mshahara



Kwa habari zaidi Download App ya SOKA KIGANJANI kutoka Play Store.

Post a Comment

0 Comments