Klabu ya Yanga imemsajili Tariq Seif Kiakala kutoka klabu ya Dekernes Fc ya nchini Misri
Tariq aliwahi kuzitumikia Stand United na Biashara United kabla ya kutimikia Misri ambako alijiunga na timu hiyo inayoshiriki ligi daraja la pili
Tariq ameonyesha kiwango kizuri huko Misri
Katika maandalizi ya msimu mpya, Tariq alicheza michezo 7, alifunga magoli 5 na kutoa pasi 3 za magoli
Kwa habari zaidi Download App ya Mwana SOKA KIGANJIANI Play Store.
0 Comments