Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi tarehe14.12.2019: Saul, Haaland, Sousa, Minamino, Emery, Alonso, Foyth

Atletico Madrid wanajiandaa kupunguza bei yao wanayoitaka kwa kiungo wa kati Muhispania Saul Niguez, mwenye umri wa miaka 25, hadi kiwango cha pauni 85 , na kuituma ujumbe kwa Manchester United. (Telegraph)

Post a Comment

0 Comments