Windows

Manara kufunguka Wasafi FM



Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara kesho Alhamisi kupitia redio ya Wasafi FM atafunguka masuala mbalimbali yanayowahusu mabingwa hao wa nchi

Manara amesema atatumia mazungumzo yake ya Wasafi Redio kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali

Miongoni mwa mambo ambayo atayazungumzial

1) Kuelezea kwa kina Simba ijayo na matarajio

2) Kuelezea kimapana kuhusu maamuzi yanayochukuliwa na Bodi kwa maslahi mapana ya klabu

3) Kufafanua Mpango wa kadi za Mashabiki na kuelezea kuhusu uwanja wa Bunju

4) Yatakayojiri Kwenye Mkutano mkuu wa Jumapili ijayo

Muda kuanzia saa mbili mpaka saa tano asubuhi, Wasafi FM



Kwa habari zaidi Download App ya SOKA KIGANJANI kutoka Play Store.

Post a Comment

0 Comments