

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' kinatarajiwa kuondoka nchini siku ya Alhamisi Disemba 05 kuelekea Uganda kushiriki michuano ya CECAFA Challenge inayoanza Disemba 07 mpaka Disemba 19
Wachezaji wa timu hiyo walianza kuripoti kambini jana na wameanza mazoezi uwanja wa Uhuru
Nyota saba wa Simba ambao tayari wameripoti kwenye kambi ya timu hiyo ni Aishi Manula, Mohammed Hussein, Gadiel Michael, Jonas Mkude, Mzamiru Yassin, Hassan Dilunga na Miraji Athumani
Ratiba ya mazoezi ya kikosi cha timu hiyo;
Kwa habari zaidi Download App ya SOKA KIGANJANI kutoka Play Store.



0 Comments