

Tanzania Bara na Zanzibar zimepangwa kundi moja michuano ya CECAFA Challenge itakayoanza wiki ijayo nchini Uganda
Shirikisho la vyama vya soka Afrika Mashariki (CECAFA), limetoa mchanganuo huo wa makundi ambapo Tanzania na Zanzibar zimepangwa kundi C pamoja na nchi za Kenya na Djibout
HAYA HAPA MAKUNDI YA CECAFA
GROUP A
1. Uganda
2. Burundi
3. Ethiopia
4. Eritrea
GROUP B
1.Congo
2. Sudan
3. S. Sudan
4. Somalia
GROUP C
1. Kenya
2. Tanzania
3. Djibouti
4. Zanzibar
Michuano hiyo inatarajiwa kuanza Disemba 07 na itamalizika Disemba 19 2019



0 Comments