

Aliyekuwa beki wa Yanga Abdallah Shaibu 'Ninja' ametembelea Makao Makuu ya klabu ya Yanga 'kuwasabahi' viongozi wa timu hiyo
Ninja kwa sasa anaitumikia LA Galaxy kwa mkopo akitokea klabu ya MFK Karvina ya Jamhuri ya Czech ambayo ilimsajili akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake Yanga
Ninja alianza kwa kuitumikia timu ya U23 LA Galaxy kabla ya kupandishwa timu ya wakubwa
Kwa sasa yuko likizo baada ya msimu wa ligi kuu ya Marekani kumalizika



0 Comments