

Ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union leo umewahakikishia wachezaji kitita cha Tsh Milioni 10 kutoka kwa kampuni ya GSM
Kampuni hiyo iliahidi kutoa kiasi hicho cha fedha kwa wachezaji sharti likiwa lazima washinde mechi dhidi ya Coastal Union
Inaelezwa utaratibu huo utaendelea kwa michezo yote ili kuwapa motisha wachezaji kuhakikisha Yanga inafanya vizuri
Kitita hicho kilikuwepo uwanjani ambapo wachezaji walikabidhiwa baada ya mchezo



0 Comments