Windows

Manchester United: Ole Gunnar Solskjaer amesema kwamba klabu yake 'inaimarika'

Mkufunzi wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer anasema kwamba kikosi chake chenye wachezaji wa umri mdogo kinaimarika kila uchao ikilinganishwa na vile walivyoanza msimu.

Post a Comment

0 Comments