Windows

VIDEO: Kama kuna mtu haoni maendeleo ana ugonjwa wa akili -RC Mnyeti


Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti akizungumza na wafanyabiahara wa mkoa huo, amesema wanazidi kupiga hatua katika Nyanja mbalimbali za Maendeleo kuanzia Elimu,afya na Miundo mbinu kutokana na fedha nyingi zilizotolewa na serikali kusimamiwa vizuri.

Akitolea mfano mji wa Babati wenye taa za bara barani katika mitaa mbalimbali,amesema kwa sasa  wafanyabiashara wanafanya kazi zao saa 24 huku usalama ukiimarishwa na jeshi la polisi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI ......USIKOSE KU-SUBSCRIBE...


Post a Comment

0 Comments