Windows

VIDEO: SIMBA WATUA DAR, WALETA MATUMAINI YA KUWAMALIZA WACONGO


BAADA ya Simba kupoteza mchezo wake wa Ligi ya Mabingwa hatua ya makundi mbele ya JS Saoura, sasa wachezaji wameamua kuhamishia hasira zao kwa wapinzani wao AS Vita ili kushinda na kutinga hatua ya robo fainali. Kwa sasa kundi D limekaa kimtego kwani hakuna hata mmoja mwenye uhakika wa kutinga hatua ya robo fainali mpaka jumamosi ambapo timu zote nne zitacheza mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi.


Post a Comment

0 Comments