

Meli hiyo ilikamatwa na wafanyakazi wake 26 katika bandari ya Jeddah nchini Saudi Arabia.
Kulingana na shirika la habari ambalo halikutaka kujitaja jina nchini Iran,meli hiyo iliyokuwa imekamatwa toka 30 Aprili imeachiwa huru na Saudia.
Ripoti imeonyesha kuwa meli hiyo imeachiwa huru na wafanyakazi wake na sasa inaelekea Iran.
Meli hiyo ya mafuta inajulikana kwa jina la "Happiness 1".



0 Comments