

Azam FC ni watetezi wa kombe hili ambalo walilitwaa msimu uliopita kwa kuifunga Simba mabao 2-1 uwanja wa Taifa.
Walitinga hatua hii baada ya kuitungua mabao 2-1 TP Mazembe robo fainali na kushinda kwa penalti 5-4 dhidi ya Manyema FC hatua ya nusu fainali nchini Rwanda.



0 Comments