Windows

Rais Magufuli asafiri kwa Treni


Rais Dkt John Magufuli leo Julai 25, 2019 ameasafiri kwa treni ya TAZARA kutoka Dar es Salaam kwenda Fuga kisha Kisaki. Atakuwa safarini kuelekea Rufiji ambako kesho ataweka jiwe la msingi la mradi wa kuzalisha umeme wa mto Rufiji.


Post a Comment

0 Comments