Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akizungumza na Wajumbe  wa Tume ya Utumishi ya Polisi, Uhamiaji na Magereza wakati wa kikao cha kujadili utendaji wa vyombo vilivyopo chini ya wizara.Kikao hicho kimefanyika Ukumbi wa wizara jijini Dodoma
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akizungumza na Wajumbe  wa Tume ya Utumishi ya Polisi, Uhamiaji na Magereza (hawapo pichani), kikao cha kujadili utendaji wa vyombo vilivyopo chini ya wizara.Kulia ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo Meja Jenerali Jacob Kingu.Kikao hicho kimefanyika Ukumbi wa wizara jijini Dodoma
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu,akifafanua jambo mbele ya Wajumbe  wa Tume ya Utumishi ya Polisi, Uhamiaji na Magereza (hawapo pichani), wakati  wa  kikao cha kujadili utendaji wa vyombo vilivyopo chini ya wizara. Kulia  ni Waziri wa wizara hiyo Kangi Lugola. Kikao hicho kimefanyika Ukumbi wa wizara jijini Dodoma