

Mgonjwa aliyekua akipatiwa matibabu ya Ebola nchini DRC ametoroka katika kituo cha afya alipokuwa amelazwa baada ya kugundulika kuwa na ugonjwa huo.
Mgonjwa huyo alikuwa katika kituo cha Afya cha Lubero, Kaskazini mwa Jimbo la Kivu na inasemekana kuwa amerejea katika makazi ya watu.



0 Comments