Katika kuhakikisha wanakuwa na kikosi imara msimu ujao wa ligi kuu soka ya Tanzania Bara TPL Simba leo imetangaza kuongeza nyota mwingine.
Simba imefanikiwa kumsaini Beno Kakolanya kwa mkataba wa miaka miwili kuitumikia Simba Sc
Beno Kakolanya alivunja mkataba na klabu yake ya awali ya Yanga hivyo Simba wamemsaini kama mchezaji huru.
0 Comments