Timu za vijana chini ya miaka 20 Yanga na Simba leo zilishuka dimbani katika uwanja wa Chamazi kucheza mchezo wa ligi ya Vijana
Katika mchezo huo Simba ilitangulia kupata bao , bao ambalo lilisawazishwa na yanga na baadae Yanga wakaongeza bao la pili na la ushindi
0 Comments