Windows

SHOO YA DIAMOND KAHAMA: Mashabiki Waishiwa NGUVU” – Video

Ni masaa machache tu yamebaki, Mwanamuziki Diamond Platnumz, apande stejini kwa ajili ya kuwaburudisha wakazi wa Kahama na vitongoji vyake katika uwanja wa taifa wilayani humo.

Global TV imefika uwanjani ambapo ndipo shoo inapofanyika na kuzungumza na mashabiki wa Diamond.

 

TAZAMA HAPA

The post SHOO YA DIAMOND KAHAMA: Mashabiki Waishiwa NGUVU” – Video appeared first on Global Publishers.


Post a Comment

0 Comments