Windows

Drakeachafua hali ya hewa

STAA wa Muziki wa Hip Hop, Aubrey Graham ‘Drake’ amechafua hali ya hewa mtandaoni baada ya kuonekana akilazimisha urafiki kwa staa wa mpira wa kikapu kutoka Timu ya Golden State Warriors, Draymond Green.

 

Iko hivi; Kwa muda mrefu, Drake na Draymond wamekuwa katika bifu zito ambalo linasababishwa na mwanamke Hazel.

Inaelezwa kuwa, Drake ndiyo alikuwa mtu wa kwanza kutoka kimapenzi na Hazel lakini baadaye aliolewa na Draymond na kuzaa naye mtoto mmoja.

 

Juzikati Drake alijikomba kwa kuomba urafiki na Draymond jambo lilofanya mashabiki wamjie juu kwa kutasfiri kwanza anamtoa mchezoni kwani ana mechi ngumu mbeleni dhidi ya Toronto Raptors lakini pia anataka kurudiana na Hazel kwa siri.

NEW YORK, MAREKANI

The post Drakeachafua hali ya hewa appeared first on Global Publishers.


Post a Comment

0 Comments