Windows

Mtibwa Sugar vs Simba, nusu fainali ligi ya vijana



Kikosi cha timu ya vijana ya Simba U20 saa moja jioni leo kitashuka kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi kumenyana na Mtibwa Sugar katika mchezo wa pili wa nusu fainali ligi ya vijana

Vijana wa Simba walifanikiwa kutinga nusu fainali baada ya kumaliza nafasi ya pili kundi A mchezo wa mwisho wakiibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Kagera Sugar

Mchezo wa mapema wa nusu fainali utazikutanisha Azam Fc na Yanga

Post a Comment

0 Comments