Windows

Mose Iyobo Apandwa na Mizuka, Afunga Barabara Kucheza INAMA! – Video

Msafara uliobeba timu ya Madansa wa Diamond Platnumz, umeanza safari usiku wa Juni 03, kuelekea Kahama eneo ambao Diamond anatarajia kufanya shoo ya kufa mtu siku ya Eid Mosi katika uwanja wa Taifa Kahama.

 

Msafara huo ukiongozwa na Mose Iyobo na madansa wenzake wamejikuta wakishindwa kujizuia na kushuka barabarani kucheza wimbo mpya wa Diamond unaosumbua sana kwa sasa ‘INAMA‘.

 

Diamond anatarajia kufanya Shoo Kahama sikukuu ya Eid Mosi Katika uwanja wa Taifa Kahama, na Shoo nyingine Siku ya Eid Pili GEITA…..Kwa kiingilio cha Elfu Kumi Tu.

 

TAZAMA VIDEO HII

The post Mose Iyobo Apandwa na Mizuka, Afunga Barabara Kucheza INAMA! – Video appeared first on Global Publishers.


Post a Comment

0 Comments