Windows

Diamond Atua na Helkopta Kahama, Apokelewa Kifalme – Video

Mwanamuziki wa Bongo Fleva kutoka WCB, Ameandika historia ya aina yake mjini Kahama baaada ya kutua na Helicopter katika uwanja wa tiafa ambapo anatarajia kufanya shoo leo.

Diamond amesema wakazi wa Kahama na vitongoji vyake wakae mkao wa kula kupokea burudani atakayogonga katika Uwanja wa Taifa mjini Kahama leo Jumatano, Juni 5, 2016.

TAZAMA TUKIO ZIMA

The post Diamond Atua na Helkopta Kahama, Apokelewa Kifalme – Video appeared first on Global Publishers.


Post a Comment

0 Comments