Windows

DIAMOND Atinga KAHAMA Kimafia “Nachinja, Mtu Asinishike Suruali” – Video

STAA wa Bongo Fleva kutoka WCB, Diamond Platnumz, amesema wakazi wa Kahama na vitongoji vyake wakae mkao wa kula kupokea burudani atakayogonga katika Uwanja wa Taifa mjini Kahama leo Jumatano, Juni 5, 2016.

Diamond amesema hayo jana akiwa Airport Jijini Mwanza wakati akiwasili kutokea Dar tayari kwa safari ya kuelekea Kahama Shinyanga kukinukisha.

TAZAMA MONDI ALIVYOTINGA KAHAMA

The post DIAMOND Atinga KAHAMA Kimafia “Nachinja, Mtu Asinishike Suruali” – Video appeared first on Global Publishers.


Post a Comment

0 Comments