Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limethibitisha #Tanzania kuwa na timu nne katika mashindano ya kimataifa kwa msimu wa 2019/2020. Timu mbili zitashiriki Ligi ya Mabingwa na timu mbili nyingine zitashiriki Kombe la Shirikisho.
Kwa upande wao Simba wameandika;
“Ilikuwa siku ya kihistoria kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na kuongeza alama ambazo zimeiwezesha nchi yetu kuingiza timu nne kwenye michuano ya kimataifa kwa msimu wa 2019/2020. SIMBA IKISHINDA, TANZANIA IMESHINDA.”
MKWASA: Azungumzia Kuhusu AFCON | CAF Mko Juu!!
The post Breaking: Yanga Yapelekwa Ligi ya Mabingwa Afrika, KMC Shirikisho appeared first on Global Publishers.
0 Comments