NA NASRA MANZI RAIS wa Shirikisho wa mpira wa Kikapu Tanzania Fares Magesa amewaomba viongozi na walimu, kuekeza katika mchezo huo hasa kwa vijana wadogo, ili kusudi kupatikana wachezaji bora watakaoendeleza mpira huo. Akizungumza na wachezaji katika bonanza la mpira […]
0 Comments