UONGOZI wa Simba umeamua kuibukia kwa kiungo wa Azam FC, Salum Aboubakar 'Sure Boy' kutokana na uwezo wake uliojificha kwenye miguu yake.
Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, kupitia ukurasa wake wa Istagram amesema kuwa kama angekuwa Kocha Mkuu wa timu ya Taifa angemuita ndani ya kikosi.
"Sure Boy ana nn ? Kuna mahali anakosea au mm ndio sijui mpira? kitu gani kinamtokea fundi huyu anaepiga pasi za mwisho za hatari kuliko kiungo yoyote nchini.
"Yeye ndio mido anaeamua team icheze vipi ktk ligi hii kando ya Haruna Niyonzima
Salum Aboubakar 'Sure Boy' lau mimi ningekuwa kocha wa timu ya Taifa,sio tu ningemwita kwenye kikosi bali angekuwa anaanza katika first eleven ya Team (Kikosi cha kwanza).
"Emmanuel Amunike nakuomba usifunge milango kwa wachezaji, nenda umuangilie tena midfielder huyu bora na mwenye uzoefu wa kutosha," amemaliza Manara.

0 Comments