

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kitaondoka mkoani Morogoro kesho Jumatano saa 3:00 asubuhi
Simba inatarajiwa kufika Kibaha, Pwani saa 5:30 asubuhi ambako ndipo mapokezi kwa mashabiki wa Dar es Salaam yatakapoanzia.
Uongozi wa Simba umewaomba mashabiki wajitokeze kwa wingi kuwapokea mabingwa hao wa nchi



0 Comments