Windows

Matokeo Simba vs Biashara United leo

Mechi Imeanza
Simba Sc 0 – 0 Biashara United
Dakika 5
Simba Sc 0 – 0 Biashara United
Goaaaaaal dakika ya 14 Enock Edwin anaipatia Biashara United bao la Kuongoza
Simba Sc 0 – 1 Biashara United
Goaaaaaaal dakika ya 17 Simba wanasawazisha kupitia kwa Clatous Chama
Simba Sc 1 – 1 Biashara United
Dakika 25
Simba Sc 1 – 1 Biashara United
HALF TIME
Simba Sc 1 – 1 Biashara United
KIPINDI CHA PILI
Dakika ya 50
Simba Sc 1 – 1 Biashara United
Dakika ya 59 Okwi anapewa kadi ya njano
Dakika ya 70
Haruna Niyonzima anatoka anaingia Hassan Dilunga

Simba Sc 1 – 1 Biashara United

Simba 1-1 Biashara United
⚽Clatous Chama 17'
⚽Innocent Edwin 14'


Post a Comment

0 Comments