Mabingwa watetezi ligi kuu ya Tanzania Bara Simba leo wanashuka uwanja wa Uhuru kuikabili Mtibwa Sugar, mchezo ukitarajiwa kuanza saa kumi kamili jioni
Hiki hapa kikosi kinachoanza kwenye mchezo huo;

Hiki hapa kikosi kinachoanza kwenye mchezo huo;

0 Comments