Windows

Dk Msolla aongeza wajumbe watatu Kamati ya Hamasa



Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji, leo Jumatano May 22 2019, ameteua wajumbe watatu wapya wa Kamati ya Hamasa na Uchangiaji ili kuiongezea nguvu zaidi Kamati hiyo

Walioteuliwa ni;

Ivan Tarimo, Leevan Spanish Maro na Richard Kalongola

Post a Comment

0 Comments