Windows

Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 13.11.2020: Ronaldo, Boateng, Traore, Rice, Janmaat, Upamecano

Arsenal, Chelsea na Tottenham zinamtaka beki wa Bayern Munich Jerome Boateng. Mjerumani huyo aliye na umri wa miaka, 32, huenda akaondoka kwa uhamisho wa bila malipo baada ya Bayern kuonesha ishara kwamba haina mpango wa kumpatia mkataba mpya. (Bild, via Sun)

Post a Comment

0 Comments