Ligi kuu soka ya Tanzania bara TPL itaendelea leo kwa mechi mbili kuchezwa baada ya mechi ya Jumapili kuchezwa kati ya Simba dhidi ya Mbao Fc na Simba kuibuka na Ushindi wa bao 3 kwa 0.
Mechi za leo zitachezwa katika miji ya Mwanza na Mbeya katika uwanja wa Nyamagana uliopo katikati ya jiji la Mwanza kati ya Wenyeji Azam Fc dhidi ya Kagera Sugar.
Na mechi nyingine itakuwa kati ya Mbeya City watakaokuwa nyumbani uwanja wa Sokoine kuwakaribisha KMC kutoka Dar Es Salaaam.A
0 Comments