Baada ya kusambaa kwa Video Ikimuonyesha Msanii Pierre akicheza wimbo huku zikisambaa habari tofauti kuwa ni ngoma ambayo amefanya na Rayvanny.
Amefunguka na kusema kuwa kwa sasa ameamua kuanza kufanya music kwa njia ya comedy na kumtaka msanii yeyote anaye taka kufanya wimbo wowote na yeye kuongea naye ili wafanye na kuachia ngoma wakati wowote.
0 Comments