Windows

MCHEZO WA LIGI KUU BARA KATI YA SIMBA NA JKT TANZANIA KUPANGIWA TAREHE

MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba na JKT Tanzania uliotakiwa kuchezwa leo kwenye Uwanja wa Jamhuri saa 10:00 Jioni umeahirishwa kutokana na mvua kubwa kunyesha.

Mvua hiyo ambayo ilianza muda mchache kabla ya mechi kuanza imesababisha maji kujaa kwenye eneo la kuchezea.



Post a Comment

0 Comments