Windows

MASHABIKI WAGOMEA KUNUNUA TIKETI

IMG_20190429_204426

NA EMMANUEL MBATILO

Mashabiki wa klabu ya FC Basel ya nchini Uswisi hawajanunua tiketi za fainali ya kombe la Uswizi kutokana na kuongezeka kwa bei kwa £38 zaidi.

Mashabiki hao watajiuzia tiketi kwa £19, watakwenda uwanjani na kuwapa pesa shirikisho la soka Uswisi.

Hata hivyo shirikisho linaweza kupokea pesa na kuwaruhusu kuingia au kukataa pesa na mashabiki.

Fainali hiyo itapigwa Mei 19 ambapo FC Basel itapambana na FC Thun.


Post a Comment

0 Comments