Kocha Mwinyi Zahera Wa Yanga amesema kuichangia leo klabu hiyo siyo kwamba ni vibaya hiyo ni kwaajili yaku weka akiba nzuri ya msimu ujao katika klabu hiyo na kuhakikisha timu hiyo inafanya vizuri katika ligi
Hata hivyo kocha huyo amesema mpango wao mkubwa niku fanya usajili mkubwa hususani katika dirisha dogo usajili la mwezi wa 9 mwaka huu.
0 Comments