Windows

VIDEO - OMMY DIMPOZ AMFANYIA 'SAPRAIZI' YA NGUVU RAIS MAGUFULI


Msanii wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz, amemfanyia Surprise Mhe. Rais wa Tanzania John Magufuli ambao ni wimbo maalumu kwa ajili yake, ikiwa ni kuheshimu utendaji wake wa kazi kwenye kuwatumikia Watanzania.


Post a Comment

0 Comments