Windows

RUGE MUTAHABA, MUONGOZA NJIA MWISHO WA ENZI, TUTAONANA BAADAYE


HATIMAYE mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba umezikwa kishujaa jana nyumbani kwao katika kijiji cha Kiziru Kata ya Karabagaine Wilaya ya Bukoba.

Zoezi la kuzika mwili wa Ruge lilianza kwa Ibada ya mazishi ambayo iliongonzwa na Katibu wa Parokia ya Itahwa, Anatory Kyatwa huku nyimbo za kihaya zikipamba tukio la mazishi.

Hii ilikuwa ni baada ya salamu za mwisho na kuagwa katika Viwanja  vya Gymkhana mjini Bukoba kabla ya kuzikwa kijijini kwao.



Pumzika kwa amani shujaa, mpambanaji, Jasiri, Muongoza njia.


Post a Comment

0 Comments