Ligi kuu soka ya Tanzania bara iliendelea leo kwa mchezo mmoja kuchezwa kati ya Mtibwa Sugar waliokuwa nyumbani Manungu kuwakaribisha Singida United.
Mechi hiyo imemalizika kwa wanaTamTam Mtibwa Sugar kuibuka na ushindi wa bao moja kwa Sifuri.
Bao hilo pekee ambalo limepatikana kipindi cha Kwanza cha mchezo limefungwa dakika ya 25 na Isamil Aidan Mhesa
0 Comments