Windows

KISA SIMBA, DISMAS TEN AANDIKA UJUMBE WA MAFUMBO, AMTAJA KOCHA STAND UNITED


Msemaji wa klabu ya Yanga ameandika ujumbe wa mafumno kuhusiana na Kocha Mkuu wa Stand United dhidi ya Simba.

Ujumbe wa Ten umeleeza kuwa Simba huwa haisemwi na kama ikisema basi kuna uwezekano Kocha Bilo akaitwa kwenye kamati.

Hatua hii imekuja mara baada ya Bilo kumlalamikia Mwamuzi wa mchezo wa leo dhidi ya Simba katika mchezo wa ligi uliopigwa CCM Kambarage na wao kushindwa mabao 2-0.

A

Post a Comment

0 Comments