Windows

HAJI MANARA AMCHANA KOCHA STAND UNITED 'UWE NA HESHIMA BLAZA'


Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, amemjibu Kocha Msaidizi wa Stand United, Athuman Bilali 'Bilo' baada ya kuikejeli timu yake kabla hawajacheza dhidi yao jana.

Bilo alisema kuwa Simba ni timu ya kawaida mno akiifananisha sawa na Singida United, Ndanda na zinginezo.

Baada ya kukutana hapo jana, Simba ilifanikiwa kuilaza Stand jumla ya mabao 2-0 yaliyofungwa na John Bocco.

Kupitia ukurasa wa Instagram, Manara amemjibu hivi Bilo



Post a Comment

0 Comments