Windows

VIDEO: TAMKO LA KOCHA AL AHLY VS SIMBA KESHO HILI HAPA, AGUSIA BAO 5


Kocha Mkuu wa klabu ya Al Ahly kutoka Uarabuni amesema haiofii klabu ya Simba kama ambavyo waliweza kuchapa Tano walipokutana mara ya kwanza basi hata mchezo wa kesho ana uhakika waarabu watawacharaza vizuri Simba.

Simba atashuka tena dimbani  na Waarabu mapema kesho katika uwanja wa Taifa jijini Dar, ambapo Mwekezaji wa klabu ya Simba Mohamed Dewji  ameshusha bei ya kiingilio mpaka kufikia Elfu Mbili.

Ikumbukwe Simba alichapwa mabao 5-0 na timu hiyo.


Post a Comment

0 Comments